sw_tn/exo/15/24.md

390 B

wakamlalamikia Musa na kusema

"hawakufurahi na kumwambia Musa" au "kwa hasira wa kamwambia Musa"

sauti ya Yahweh Mungu wako

Yahweh anazungumza kuhusu sauti yake.

kufanya yalio sahihi machoni pake

Maneno "machoni pake" hapa ya wakilisha kile Mungu alicho amini au kuamua.

sitawaekea ninyi magonjwa

Mungu anaongea kusababisha watu kuwa na magonjwa kam kuweka magonjwa juu yao.