# wakamlalamikia Musa na kusema "hawakufurahi na kumwambia Musa" au "kwa hasira wa kamwambia Musa" # sauti ya Yahweh Mungu wako Yahweh anazungumza kuhusu sauti yake. # kufanya yalio sahihi machoni pake Maneno "machoni pake" hapa ya wakilisha kile Mungu alicho amini au kuamua. # sitawaekea ninyi magonjwa Mungu anaongea kusababisha watu kuwa na magonjwa kam kuweka magonjwa juu yao.