sw_tn/exo/15/09.md

741 B

tamanio langu litatimizwa kwao

Hii yaweza elezwa katika tensi tendaji.

mkono wangu utawaharibu wao

Maadui wanaongea kuwaharibu Waisraeli kwa nguvu ya mkono wao kana kwamba ni mikono itakyo waharibu.

Lakini ulipuliza kwa upepo wako

Musa aliongea kuhusu Mungu kufanya upepo upulize kana kwamba Mungu alipuliza upepo kupitia pua au mdomo.

walizama kama chuma nzito kwenye maji mengi

Chuma ni kifaa kizito kinacho tumika kawaida kufanya vitu vizame majini. Neno "chuma" linatumika hapa kuonyesha jinsi Mungu alivyo haribu maadui zake.

Ni nani kama wewe, Yahweh, miongoni mwa miungu?

Musa anatumia hili swali kuonyesha jinsi alivyo mkuu.

Nani kama ... fanya miujiza?

Musa anatumia hili swali kuonyesha jinsi alivyo mkuu.