sw_tn/exo/15/09.md

24 lines
741 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# tamanio langu litatimizwa kwao
Hii yaweza elezwa katika tensi tendaji.
# mkono wangu utawaharibu wao
Maadui wanaongea kuwaharibu Waisraeli kwa nguvu ya mkono wao kana kwamba ni mikono itakyo waharibu.
# Lakini ulipuliza kwa upepo wako
Musa aliongea kuhusu Mungu kufanya upepo upulize kana kwamba Mungu alipuliza upepo kupitia pua au mdomo.
# walizama kama chuma nzito kwenye maji mengi
Chuma ni kifaa kizito kinacho tumika kawaida kufanya vitu vizame majini. Neno "chuma" linatumika hapa kuonyesha jinsi Mungu alivyo haribu maadui zake.
# Ni nani kama wewe, Yahweh, miongoni mwa miungu?
Musa anatumia hili swali kuonyesha jinsi alivyo mkuu.
# Nani kama ... fanya miujiza?
Musa anatumia hili swali kuonyesha jinsi alivyo mkuu.