# tamanio langu litatimizwa kwao Hii yaweza elezwa katika tensi tendaji. # mkono wangu utawaharibu wao Maadui wanaongea kuwaharibu Waisraeli kwa nguvu ya mkono wao kana kwamba ni mikono itakyo waharibu. # Lakini ulipuliza kwa upepo wako Musa aliongea kuhusu Mungu kufanya upepo upulize kana kwamba Mungu alipuliza upepo kupitia pua au mdomo. # walizama kama chuma nzito kwenye maji mengi Chuma ni kifaa kizito kinacho tumika kawaida kufanya vitu vizame majini. Neno "chuma" linatumika hapa kuonyesha jinsi Mungu alivyo haribu maadui zake. # Ni nani kama wewe, Yahweh, miongoni mwa miungu? Musa anatumia hili swali kuonyesha jinsi alivyo mkuu. # Nani kama ... fanya miujiza? Musa anatumia hili swali kuonyesha jinsi alivyo mkuu.