sw_tn/exo/15/04.md

316 B

Ametupa magari ya farasi ya Farao na jeshi lake kwenye bahari

Musa anaimba kuhusu Mungu kusababisha bahari kufunika magari ya Farao na jeshi kana kwamba Mungu amewatupa baharini.

walienda kwenye kina kama jiwe

Kama jiwe lisivyo elea lakini la zama chini ya bahari, majeshi ya maadui yamezama chini ya bahari.