# Ametupa magari ya farasi ya Farao na jeshi lake kwenye bahari Musa anaimba kuhusu Mungu kusababisha bahari kufunika magari ya Farao na jeshi kana kwamba Mungu amewatupa baharini. # walienda kwenye kina kama jiwe Kama jiwe lisivyo elea lakini la zama chini ya bahari, majeshi ya maadui yamezama chini ya bahari.