sw_tn/exo/15/04.md

8 lines
316 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ametupa magari ya farasi ya Farao na jeshi lake kwenye bahari
Musa anaimba kuhusu Mungu kusababisha bahari kufunika magari ya Farao na jeshi kana kwamba Mungu amewatupa baharini.
# walienda kwenye kina kama jiwe
Kama jiwe lisivyo elea lakini la zama chini ya bahari, majeshi ya maadui yamezama chini ya bahari.