sw_tn/exo/14/26.md

16 lines
385 B
Markdown

# Yahweh akamwambia Musa, "Nyoosha mkono ... na wapanda farasi wao."
Hii yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.
# yawarudie
"kuwaangukia"
# Wamisri walikimbilia ndani ya bahari
Tangu bahari ilikuwa inafunga juu ya Wamisri, badala ya kutoroka, walikuwa wanakimbia ndani ya maji.
# Yahweh akawaingiza Wamisri
"Yahweh akawasukuma Wamisri" au "Yahweh akawatupa Wamisri"