sw_tn/exo/14/26.md

385 B

Yahweh akamwambia Musa, "Nyoosha mkono ... na wapanda farasi wao."

Hii yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.

yawarudie

"kuwaangukia"

Wamisri walikimbilia ndani ya bahari

Tangu bahari ilikuwa inafunga juu ya Wamisri, badala ya kutoroka, walikuwa wanakimbia ndani ya maji.

Yahweh akawaingiza Wamisri

"Yahweh akawasukuma Wamisri" au "Yahweh akawatupa Wamisri"