# Yahweh akamwambia Musa, "Nyoosha mkono ... na wapanda farasi wao." Hii yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. # yawarudie "kuwaangukia" # Wamisri walikimbilia ndani ya bahari Tangu bahari ilikuwa inafunga juu ya Wamisri, badala ya kutoroka, walikuwa wanakimbia ndani ya maji. # Yahweh akawaingiza Wamisri "Yahweh akawasukuma Wamisri" au "Yahweh akawatupa Wamisri"