sw_tn/exo/05/01.md

20 lines
505 B
Markdown

# Baada ya hivi vitu kutokea
Sio wazi muda gani ambao Musa na Aruni walisubiri mpaka walipo muuona Farao.
# sherehe kwa ajili yangu
Hii ni sherehe ya kumuabudu Yahweh.
# Yahweh ni nani?
Farao anatumia hili swali kuonyesha kuwa hamtambui Yahweh kama mungu halali.
# Kwanini mimi ... ach Israeli iende?
Farao anatumia hili swali kuonyesha kwamba anatamanio la kumtii Yahweh au kuwaacha Waisraeli waende kumuabudu Mungu.
# sikiliza sauti yako
Maneno "sauti yako" yana wakilisha Mungu aliyo ya sema.