sw_tn/exo/05/01.md

505 B

Baada ya hivi vitu kutokea

Sio wazi muda gani ambao Musa na Aruni walisubiri mpaka walipo muuona Farao.

sherehe kwa ajili yangu

Hii ni sherehe ya kumuabudu Yahweh.

Yahweh ni nani?

Farao anatumia hili swali kuonyesha kuwa hamtambui Yahweh kama mungu halali.

Kwanini mimi ... ach Israeli iende?

Farao anatumia hili swali kuonyesha kwamba anatamanio la kumtii Yahweh au kuwaacha Waisraeli waende kumuabudu Mungu.

sikiliza sauti yako

Maneno "sauti yako" yana wakilisha Mungu aliyo ya sema.