# Baada ya hivi vitu kutokea Sio wazi muda gani ambao Musa na Aruni walisubiri mpaka walipo muuona Farao. # sherehe kwa ajili yangu Hii ni sherehe ya kumuabudu Yahweh. # Yahweh ni nani? Farao anatumia hili swali kuonyesha kuwa hamtambui Yahweh kama mungu halali. # Kwanini mimi ... ach Israeli iende? Farao anatumia hili swali kuonyesha kwamba anatamanio la kumtii Yahweh au kuwaacha Waisraeli waende kumuabudu Mungu. # sikiliza sauti yako Maneno "sauti yako" yana wakilisha Mungu aliyo ya sema.