sw_tn/eph/06/05.md

24 lines
713 B
Markdown

# watumwa, iweni watiifu kwa
"Ninyi watumwa mnapaswa kutii"
# kwa heshima kubwa na kutetemeka
Hizi ni njia mbili zinazofanana kuonyesha heshima kuhusu mabwana zao.
# kutetemeka kwa hofu itokayo mioyoni mwenu. Tiini kama vile mnavyomtii kristo
"Nyeyekeeni kwa hofu, kama kumtii kristo"
# usiwe tu pale mabwana zenu wanapowatazama
"siku zote fanya kazi kama ulivyokuwa ukifanya kazi kwa ajili ya kristo mwenyewe, hata kama mabwana zenu hawawatazami"
# kama watumwa wa Kristo
watumikieni mabwana zenu ingawa bwana wenu duniani ni Kristo.
# Watumikieni kwa mioyo yenu yote. Kana kwamba kumtumikia Bwana na wala si wanadamu
"fanya kwa furaha maana unafanya kwa ajili ya Bwana na si kuwafurahisha wanadamu."