# watumwa, iweni watiifu kwa "Ninyi watumwa mnapaswa kutii" # kwa heshima kubwa na kutetemeka Hizi ni njia mbili zinazofanana kuonyesha heshima kuhusu mabwana zao. # kutetemeka kwa hofu itokayo mioyoni mwenu. Tiini kama vile mnavyomtii kristo "Nyeyekeeni kwa hofu, kama kumtii kristo" # usiwe tu pale mabwana zenu wanapowatazama "siku zote fanya kazi kama ulivyokuwa ukifanya kazi kwa ajili ya kristo mwenyewe, hata kama mabwana zenu hawawatazami" # kama watumwa wa Kristo watumikieni mabwana zenu ingawa bwana wenu duniani ni Kristo. # Watumikieni kwa mioyo yenu yote. Kana kwamba kumtumikia Bwana na wala si wanadamu "fanya kwa furaha maana unafanya kwa ajili ya Bwana na si kuwafurahisha wanadamu."