sw_tn/eph/05/18.md

24 lines
444 B
Markdown

# sentensi unganishi
Paulo anamaliza maelekezo yake kwa jinsi gani waamini wapswa kuishi.
# Na usilewe kwa mvinyo
"Na usilewe kutokana na kunywa mvinyo"
# badala yake uwe umejaa na Roho Mtakatifu
"badala yake uwe uliyejaa na Roho Mtakatifu"
# katika zaburi na sifa na nyimbo za kiroho
"pamoja na aina zote za nyimbo za kumsifu Mungu"
# daima mkitoa shukrani
"Mtoe shukrani daima"
# mkijitoa wenyewe
"Kwa unyenyekevu jitoeni wenyewe"