# sentensi unganishi Paulo anamaliza maelekezo yake kwa jinsi gani waamini wapswa kuishi. # Na usilewe kwa mvinyo "Na usilewe kutokana na kunywa mvinyo" # badala yake uwe umejaa na Roho Mtakatifu "badala yake uwe uliyejaa na Roho Mtakatifu" # katika zaburi na sifa na nyimbo za kiroho "pamoja na aina zote za nyimbo za kumsifu Mungu" # daima mkitoa shukrani "Mtoe shukrani daima" # mkijitoa wenyewe "Kwa unyenyekevu jitoeni wenyewe"