sw_tn/eph/01/11.md

16 lines
391 B
Markdown

# Tulichaguliwa kuwa warithi
Hii yaweza nenwa kama kauli tendaji. "Mungu ametuchagua sisi kuwa warithi"
# Tumechaguliwa... ni sisi ambao ni wa kwanza
"Mungu alituchagua hapo awali"
# Ili kwamba tuwe wa kwanza
Hapa neno "sisi" la husu wa Yahudi waamini walio sikia habari njema, sio waamini wa Efeso.
# Ili kwamba tuwe sifa za utukufu wake
"ili kwamba tuishi kumsifu kwa utukufu wake.