# Tulichaguliwa kuwa warithi Hii yaweza nenwa kama kauli tendaji. "Mungu ametuchagua sisi kuwa warithi" # Tumechaguliwa... ni sisi ambao ni wa kwanza "Mungu alituchagua hapo awali" # Ili kwamba tuwe wa kwanza Hapa neno "sisi" la husu wa Yahudi waamini walio sikia habari njema, sio waamini wa Efeso. # Ili kwamba tuwe sifa za utukufu wake "ili kwamba tuishi kumsifu kwa utukufu wake.