sw_tn/eph/01/07.md

16 lines
487 B
Markdown

# Kwa mwana wake wa kipekee
"kwa mwana wa Mungu wa kipekee, Yesu Kristo"
# Utajiri wa neema yake
Paulo anazungumzia neema ya Mungu kana kwamba ilikuwa ni vitu vya thamani: "ukuu wa neema ya Mungu" au "kushikamana na neema ya Mungu"
# Ametumwagia hii neema kwa sana
"Ametupa sisi hiki kiasi kikubwa cha neema" au " Amekuwa mkarimu sana kwetu"
# katika hekima na ufahamu
Yamkini tafsiri zilizopo ni 1) "sababu anayo hekima zote na ufahamu" 2) "ilituwe na hekima kubwa na ufahamu"