# Kwa mwana wake wa kipekee "kwa mwana wa Mungu wa kipekee, Yesu Kristo" # Utajiri wa neema yake Paulo anazungumzia neema ya Mungu kana kwamba ilikuwa ni vitu vya thamani: "ukuu wa neema ya Mungu" au "kushikamana na neema ya Mungu" # Ametumwagia hii neema kwa sana "Ametupa sisi hiki kiasi kikubwa cha neema" au " Amekuwa mkarimu sana kwetu" # katika hekima na ufahamu Yamkini tafsiri zilizopo ni 1) "sababu anayo hekima zote na ufahamu" 2) "ilituwe na hekima kubwa na ufahamu"