sw_tn/deu/31/16.md

330 B

Tazama

"Vuta nadhari kwa kile ninachotaka kukuambia"

utalala na baba zako

Hii ni njia ya upole ya kusema "utakufa". "utakufa na kujiunga na mababu zako ambao wameshakufa kabla yako"

watainuka na kujifanya kama kahaba

Kuwa kahaba ni sitiari ya kuabudu miungu mingine tofauti na Yahwe. "kuanza kutokuwa mwaminifu kwangu"