# Tazama "Vuta nadhari kwa kile ninachotaka kukuambia" # utalala na baba zako Hii ni njia ya upole ya kusema "utakufa". "utakufa na kujiunga na mababu zako ambao wameshakufa kabla yako" # watainuka na kujifanya kama kahaba Kuwa kahaba ni sitiari ya kuabudu miungu mingine tofauti na Yahwe. "kuanza kutokuwa mwaminifu kwangu"