sw_tn/deu/31/16.md

12 lines
330 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tazama
"Vuta nadhari kwa kile ninachotaka kukuambia"
# utalala na baba zako
Hii ni njia ya upole ya kusema "utakufa". "utakufa na kujiunga na mababu zako ambao wameshakufa kabla yako"
# watainuka na kujifanya kama kahaba
Kuwa kahaba ni sitiari ya kuabudu miungu mingine tofauti na Yahwe. "kuanza kutokuwa mwaminifu kwangu"