sw_tn/deu/28/32.md

592 B

Habari ya jumla

Mus anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.

Watoto wa kiume na mabinti zako watapewa kwa watu wengine

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Nitawapa watoto na binti zako kwa watu wengine" au " Maadui zako watawachukua watoto na binti zako"

macho yako yatawatafuta siku nzima, lakini yatashindwa kwa shauku juu yao.

Hapa "macho yako" urejea kwa mtu mzima. "utachoka wakati udumu kuwatazama na kutamani kuwaona tena."

Hakutakuwa na nguvu mikononi mwako.

Hapa "nguvu mkononi mwako" urejea kwa nguvu.