# Habari ya jumla Mus anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja. # Watoto wa kiume na mabinti zako watapewa kwa watu wengine Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Nitawapa watoto na binti zako kwa watu wengine" au " Maadui zako watawachukua watoto na binti zako" # macho yako yatawatafuta siku nzima, lakini yatashindwa kwa shauku juu yao. Hapa "macho yako" urejea kwa mtu mzima. "utachoka wakati udumu kuwatazama na kutamani kuwaona tena." # Hakutakuwa na nguvu mikononi mwako. Hapa "nguvu mkononi mwako" urejea kwa nguvu.