sw_tn/deu/28/32.md

16 lines
592 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Mus anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.
# Watoto wa kiume na mabinti zako watapewa kwa watu wengine
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Nitawapa watoto na binti zako kwa watu wengine" au " Maadui zako watawachukua watoto na binti zako"
# macho yako yatawatafuta siku nzima, lakini yatashindwa kwa shauku juu yao.
Hapa "macho yako" urejea kwa mtu mzima. "utachoka wakati udumu kuwatazama na kutamani kuwaona tena."
# Hakutakuwa na nguvu mikononi mwako.
Hapa "nguvu mkononi mwako" urejea kwa nguvu.