sw_tn/deu/28/07.md

663 B

Habari ya jumla

Musa azungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja.

kusababisha maadui zako wanaoinuka dhidi yako kupigwa chini mbele zako

Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "kusababisha wewe kuwashinda majeshi ambayo yanawavamia"

lakini watakimbia mbele yako njia saba

"lakini watakimbia mbali kutoka kwako kwa njia saba"

njia saba

"kwa njia nyingi tofauti"

Yahwe ataamuru baraka kuja kwako katika maghala yako

Musa amwelezea Yahwe kuwabariki Waisraeli kama Yahwe alikuwa anamwamuru mtu kuwavamia kwa kumshangao.

na kwa yote ambayo unaweka mkono wako

Hii ni nahau. "na kila kitu unachofanya"