sw_tn/deu/28/07.md

24 lines
663 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Musa azungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja.
# kusababisha maadui zako wanaoinuka dhidi yako kupigwa chini mbele zako
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "kusababisha wewe kuwashinda majeshi ambayo yanawavamia"
# lakini watakimbia mbele yako njia saba
"lakini watakimbia mbali kutoka kwako kwa njia saba"
# njia saba
"kwa njia nyingi tofauti"
# Yahwe ataamuru baraka kuja kwako katika maghala yako
Musa amwelezea Yahwe kuwabariki Waisraeli kama Yahwe alikuwa anamwamuru mtu kuwavamia kwa kumshangao.
# na kwa yote ambayo unaweka mkono wako
Hii ni nahau. "na kila kitu unachofanya"