# Habari ya jumla Musa azungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja. # kusababisha maadui zako wanaoinuka dhidi yako kupigwa chini mbele zako Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "kusababisha wewe kuwashinda majeshi ambayo yanawavamia" # lakini watakimbia mbele yako njia saba "lakini watakimbia mbali kutoka kwako kwa njia saba" # njia saba "kwa njia nyingi tofauti" # Yahwe ataamuru baraka kuja kwako katika maghala yako Musa amwelezea Yahwe kuwabariki Waisraeli kama Yahwe alikuwa anamwamuru mtu kuwavamia kwa kumshangao. # na kwa yote ambayo unaweka mkono wako Hii ni nahau. "na kila kitu unachofanya"