sw_tn/deu/27/09.md

12 lines
397 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# utii sauti ya Yahwe Mungu wako
Hapa lugha nyingine ya "sauti ya Yahwe" ina maana ya kile anachosema. "tii kile Yahwe Mungu wako anachosema"
# ninawaamuru
Musa anawaamuru. Walawi wapo pale kukubaliana na Musa, lakini ni yeye peke yake anayezungumza.