sw_tn/deu/27/09.md

397 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.

utii sauti ya Yahwe Mungu wako

Hapa lugha nyingine ya "sauti ya Yahwe" ina maana ya kile anachosema. "tii kile Yahwe Mungu wako anachosema"

ninawaamuru

Musa anawaamuru. Walawi wapo pale kukubaliana na Musa, lakini ni yeye peke yake anayezungumza.