# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja. # utii sauti ya Yahwe Mungu wako Hapa lugha nyingine ya "sauti ya Yahwe" ina maana ya kile anachosema. "tii kile Yahwe Mungu wako anachosema" # ninawaamuru Musa anawaamuru. Walawi wapo pale kukubaliana na Musa, lakini ni yeye peke yake anayezungumza.