sw_tn/deu/23/19.md

586 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" hapa ni katika umoja.

Hutakiwi kumkopesha Muisraeli mwenzako kwa riba

"Kama utakopesha kitu kwa Muisraeli mwenzako, hautakiwi kumfanya alipe zaidi ya alivyokopa"

kukopesha kwa riba

kumkopesha mtu na kumlazimisha mtu huyo kulipa zaidi ya kile alichokopa

riba ya fedha ... kitu chochote kinachokopeshwa kwa riba

"hautakiwi kulipiza riba unapomkopesha mtu pesa, chakula, au kitu chochote"

kila jambo uwekalo mkono wako

Hii ni lahaja. "kila unachofanya"