sw_tn/deu/23/19.md

20 lines
586 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" hapa ni katika umoja.
# Hutakiwi kumkopesha Muisraeli mwenzako kwa riba
"Kama utakopesha kitu kwa Muisraeli mwenzako, hautakiwi kumfanya alipe zaidi ya alivyokopa"
# kukopesha kwa riba
kumkopesha mtu na kumlazimisha mtu huyo kulipa zaidi ya kile alichokopa
# riba ya fedha ... kitu chochote kinachokopeshwa kwa riba
"hautakiwi kulipiza riba unapomkopesha mtu pesa, chakula, au kitu chochote"
# kila jambo uwekalo mkono wako
Hii ni lahaja. "kila unachofanya"