sw_tn/deu/22/01.md

24 lines
616 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba alikuwa akizungumza na mtu mmoja, kwa hiyo maneno "zako" na "yako" ni katika umoja.
# akikosea njia
"kutembea kutoka kwa mmiliki wake"
# ukajificha kwao
Hii ni lahaja. "fanya kama vile hauwaoni" au "ondoka bila kutenda jambo lolote"
# Iwapo Muisraeli mwenzako hayupo karibu nawe
"Kama Muisraeli mwenzako anaishi mbali na kwako"
# au kama haumfahamu
"au kama haujui ni nani mmiliki wa mnyama ni nani"
# na lazima uwe naye mpaka pale mwenyewe atakapomtafuta
"na unapaswa kukaa na mnyama mpaka pale mmiliki atakapokuja kumtafuta"