# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba alikuwa akizungumza na mtu mmoja, kwa hiyo maneno "zako" na "yako" ni katika umoja. # akikosea njia "kutembea kutoka kwa mmiliki wake" # ukajificha kwao Hii ni lahaja. "fanya kama vile hauwaoni" au "ondoka bila kutenda jambo lolote" # Iwapo Muisraeli mwenzako hayupo karibu nawe "Kama Muisraeli mwenzako anaishi mbali na kwako" # au kama haumfahamu "au kama haujui ni nani mmiliki wa mnyama ni nani" # na lazima uwe naye mpaka pale mwenyewe atakapomtafuta "na unapaswa kukaa na mnyama mpaka pale mmiliki atakapokuja kumtafuta"