sw_tn/deu/22/01.md

616 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba alikuwa akizungumza na mtu mmoja, kwa hiyo maneno "zako" na "yako" ni katika umoja.

akikosea njia

"kutembea kutoka kwa mmiliki wake"

ukajificha kwao

Hii ni lahaja. "fanya kama vile hauwaoni" au "ondoka bila kutenda jambo lolote"

Iwapo Muisraeli mwenzako hayupo karibu nawe

"Kama Muisraeli mwenzako anaishi mbali na kwako"

au kama haumfahamu

"au kama haujui ni nani mmiliki wa mnyama ni nani"

na lazima uwe naye mpaka pale mwenyewe atakapomtafuta

"na unapaswa kukaa na mnyama mpaka pale mmiliki atakapokuja kumtafuta"