sw_tn/deu/21/05.md

36 lines
993 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.
# wanapaswa kuja mbele
"wanapaswa kuja bondeni"
# kwa maana Yahwe Mungu wako amewachagua wamtumikie yeye
"kwa sababu makuhani ndio wao ambao Yahwe Mungu wako amewachagua kumtumikia"
# Yahwe Mungu wako
Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba alikuwa akizungumza na mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" ni katika umoja.
# kutoa baraka kwa watu
"kubariki watu wa Israeli"
# katika jina la Yahwe
Hapa lugha nyingine "katika jina la" ina maana ya Yahwe na mamlaka yake. "kama yule asemavyo na kufanya kile Yahwe mwenyewe angesema na kufanya"
# sikiliza ushauri wao
"sikiliza kile makuhani wanachosema"
# kwa maana neno lao litakuwa hukumu
Hapa lugha nyingine "neno lao" ina maana ya kile makuhani wanachosema. "kwa sababu chochote makuhani wanchosema, huo utakuwa uamuzi wao"
# katika kila mtafaruku na ugomvi
"kila wakati watu wanapokuwa mahakamani kwa sababu ya kutokuelewana baina yao au mtu kudhuru mtu mwingine"