sw_tn/deu/21/05.md

993 B

Taarifa ya Jumla:

Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli.

wanapaswa kuja mbele

"wanapaswa kuja bondeni"

kwa maana Yahwe Mungu wako amewachagua wamtumikie yeye

"kwa sababu makuhani ndio wao ambao Yahwe Mungu wako amewachagua kumtumikia"

Yahwe Mungu wako

Musa anazungumza na Waisraeli kana kwamba alikuwa akizungumza na mtu mmoja, kwa hiyo neno "wako" ni katika umoja.

kutoa baraka kwa watu

"kubariki watu wa Israeli"

katika jina la Yahwe

Hapa lugha nyingine "katika jina la" ina maana ya Yahwe na mamlaka yake. "kama yule asemavyo na kufanya kile Yahwe mwenyewe angesema na kufanya"

sikiliza ushauri wao

"sikiliza kile makuhani wanachosema"

kwa maana neno lao litakuwa hukumu

Hapa lugha nyingine "neno lao" ina maana ya kile makuhani wanachosema. "kwa sababu chochote makuhani wanchosema, huo utakuwa uamuzi wao"

katika kila mtafaruku na ugomvi

"kila wakati watu wanapokuwa mahakamani kwa sababu ya kutokuelewana baina yao au mtu kudhuru mtu mwingine"