sw_tn/deu/16/11.md

517 B

mwana wako, binti yako, mjakazi wako wa kiume, mjakazi wako wa kike, Mlawi

Hawa hawarejei kwa mtu maalumu. Ina maana hawa ni aina ya watu kwa jumla.

ndani ya malango yako

Hapa "malango" uwakilisha miji

mgeni, yatima na mjane

Hii urejea kwa aina ya watu hawa kwa jumla

yatima

Hawa ni watoto ambao wazazi wao wote walifuga na hawana ndugu wa kuwajali.

mjane

Hii ina maana ya mwanamke ambaye mme wake amekufa na hana watoto wa kumjali kwa umri wa uzeeni.

kumbuka akilini

Hii ni nahau. "kumbuka"