# mwana wako, binti yako, mjakazi wako wa kiume, mjakazi wako wa kike, Mlawi Hawa hawarejei kwa mtu maalumu. Ina maana hawa ni aina ya watu kwa jumla. # ndani ya malango yako Hapa "malango" uwakilisha miji # mgeni, yatima na mjane Hii urejea kwa aina ya watu hawa kwa jumla # yatima Hawa ni watoto ambao wazazi wao wote walifuga na hawana ndugu wa kuwajali. # mjane Hii ina maana ya mwanamke ambaye mme wake amekufa na hana watoto wa kumjali kwa umri wa uzeeni. # kumbuka akilini Hii ni nahau. "kumbuka"