sw_tn/deu/16/11.md

24 lines
517 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwana wako, binti yako, mjakazi wako wa kiume, mjakazi wako wa kike, Mlawi
Hawa hawarejei kwa mtu maalumu. Ina maana hawa ni aina ya watu kwa jumla.
# ndani ya malango yako
Hapa "malango" uwakilisha miji
# mgeni, yatima na mjane
Hii urejea kwa aina ya watu hawa kwa jumla
# yatima
Hawa ni watoto ambao wazazi wao wote walifuga na hawana ndugu wa kuwajali.
# mjane
Hii ina maana ya mwanamke ambaye mme wake amekufa na hana watoto wa kumjali kwa umri wa uzeeni.
# kumbuka akilini
Hii ni nahau. "kumbuka"