sw_tn/deu/13/08.md

20 lines
476 B
Markdown

# usimkubali
"Usikukabali kwa kile anataka "
# Wala jicho lako lisimhurumie
Hapa "jicho lako" urejea kwa mtu mzima.
# wala hautamzuia au kumficha
"wala hautamuonyesha huruma au kujificha kutoka kwa wengine kile alichokifanya"
# mkono wako utakuwa wa kwanza kumuawa
Hii inamaanisha kwamba alikuwa wa kutupa jiwe la kwanza kwa mtu aliye na hatia. Neno "mkono" uwakilisha mtu mzima.
# mkono wa watu wote
Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima. "watu wengine wataungana nawe"