sw_tn/deu/13/08.md

476 B

usimkubali

"Usikukabali kwa kile anataka "

Wala jicho lako lisimhurumie

Hapa "jicho lako" urejea kwa mtu mzima.

wala hautamzuia au kumficha

"wala hautamuonyesha huruma au kujificha kutoka kwa wengine kile alichokifanya"

mkono wako utakuwa wa kwanza kumuawa

Hii inamaanisha kwamba alikuwa wa kutupa jiwe la kwanza kwa mtu aliye na hatia. Neno "mkono" uwakilisha mtu mzima.

mkono wa watu wote

Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima. "watu wengine wataungana nawe"