# usimkubali "Usikukabali kwa kile anataka " # Wala jicho lako lisimhurumie Hapa "jicho lako" urejea kwa mtu mzima. # wala hautamzuia au kumficha "wala hautamuonyesha huruma au kujificha kutoka kwa wengine kile alichokifanya" # mkono wako utakuwa wa kwanza kumuawa Hii inamaanisha kwamba alikuwa wa kutupa jiwe la kwanza kwa mtu aliye na hatia. Neno "mkono" uwakilisha mtu mzima. # mkono wa watu wote Hapa "mkono" uwakilisha mtu mzima. "watu wengine wataungana nawe"