sw_tn/deu/09/09.md

810 B

Taarifa ya ujumla

Musa anawakumbusha watu wa Israeli nini kilitokea nyuma.

mbao za jiwe, mbao za agano ambalo Yahwe alifanya na ninyi

Hapa kikundi cha maneno ya pili ufafanua kwamba "mbao za jiwe" ni zile Mungu aliandika amri kumi.

siku arobaini na usiku arobaini

"siku 40 na usiku 40"

juu yake ziliandikwa kila kitu kama maneno yote ambayo Yahwe alitangaza kwenu

Hii inaweza kutofasiriwa katika kauli tendaji. "Yahwe aliandika juu yake maneno yale yale aliyosema kwenu"

Yahwe alitangaza...nje katikati ya moto

Ilikuwa kama Yahwe alikuwa mtu anasimama katikati mwa moto na kuzungumza kwa sauti kubwa.

katika siku ya kusanyiko

Nomino kufikirika "kusanyiko" inaweza kuelezwa kama tendo "kusanya kwa pamoja." "katika siku wakati ninyi wanaisraeli wote mlikuja na kukutana pamoja eneo moja"