# Taarifa ya ujumla Musa anawakumbusha watu wa Israeli nini kilitokea nyuma. # mbao za jiwe, mbao za agano ambalo Yahwe alifanya na ninyi Hapa kikundi cha maneno ya pili ufafanua kwamba "mbao za jiwe" ni zile Mungu aliandika amri kumi. # siku arobaini na usiku arobaini "siku 40 na usiku 40" # juu yake ziliandikwa kila kitu kama maneno yote ambayo Yahwe alitangaza kwenu Hii inaweza kutofasiriwa katika kauli tendaji. "Yahwe aliandika juu yake maneno yale yale aliyosema kwenu" # Yahwe alitangaza...nje katikati ya moto Ilikuwa kama Yahwe alikuwa mtu anasimama katikati mwa moto na kuzungumza kwa sauti kubwa. # katika siku ya kusanyiko Nomino kufikirika "kusanyiko" inaweza kuelezwa kama tendo "kusanya kwa pamoja." "katika siku wakati ninyi wanaisraeli wote mlikuja na kukutana pamoja eneo moja"