sw_tn/deu/09/09.md

24 lines
810 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa anawakumbusha watu wa Israeli nini kilitokea nyuma.
# mbao za jiwe, mbao za agano ambalo Yahwe alifanya na ninyi
Hapa kikundi cha maneno ya pili ufafanua kwamba "mbao za jiwe" ni zile Mungu aliandika amri kumi.
# siku arobaini na usiku arobaini
"siku 40 na usiku 40"
# juu yake ziliandikwa kila kitu kama maneno yote ambayo Yahwe alitangaza kwenu
Hii inaweza kutofasiriwa katika kauli tendaji. "Yahwe aliandika juu yake maneno yale yale aliyosema kwenu"
# Yahwe alitangaza...nje katikati ya moto
Ilikuwa kama Yahwe alikuwa mtu anasimama katikati mwa moto na kuzungumza kwa sauti kubwa.
# katika siku ya kusanyiko
Nomino kufikirika "kusanyiko" inaweza kuelezwa kama tendo "kusanya kwa pamoja." "katika siku wakati ninyi wanaisraeli wote mlikuja na kukutana pamoja eneo moja"